For businesses and employees (vehicle collateral)
Mahitaji- Kitambulisho
- Gari na kadi yake
- Picha 2 za passport size
- File ya gari (mkataba wa mauziano wenye muhuri wa mwanasheria endapo ulinunua gari yard au kwa mtubinafsi)
- Barua ya serikal ya mtaa
- Kopi ya vitambulisho viwili, passport size 3